General Jealous
Member
- Oct 6, 2015
- 28
- 11
Ngoma yake ya Dada anaolewa huwa hainitoki kichwani. Huwa kila ikipigwa inanikumbusha 5-0 wa kimataifa akiadhirika uwanja wa Taifa, tafuna Mnyama griiii.
Siku hiyo ilikuwa raha sana, wapenzi wa soka tuliimba kwa pamoja, "dada huyoo anaolewa, mahari ishatolewa".
Pengo la Okwi, Mafisango, Boban na Sunzu linaigharimu Simba hadi leo. Naipenda sana Simba.
Hahahaaaaa mkuu watu wanashindwaga kweli kiref cha TBT ndo wanaamua kuungaunga tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu mie[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]elimu elimu elimu. through back thursday???? bas sawa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nicheke kwanza,Wakuu habari!!.. Ebu tujaribu kufikiri tafsiri za nyimbo za bongo maana yake.
Leo nilikumbuka kusikiliza nyimbo za kitambo kidogo za bongo (Throw Back Thursday ) nikakutana na ile nyimbo ya msanii mdogo wa bongo flavor Young Dar es Salaam (Young D).
Hii nyimbo ilikuwa maarufu inaenda kwa jina Fununu alimshirikisha Ben pol na Mwana FA kuna mistari katika verse yake yapili ilisikika ikisema...
"KWANGU WALISHAZUSHA HADI NIKAPAGAWA JAPO MOJA ILINIGUSA KWAMBA NATUMIA MADAWA DAH MADAWA YA KULEVYA NI SUMU ILA ASA MBONA NIPO FIT BAS INARUDI FUNUNU USICHOKUONA USIKIAMINI LABDA MUNGU UNACHO SIKIA NDIO KABISA YANAWEZA KUWA MAJUNGU"
Kinachokuja kunipa maswali hapo juzi kati aliconfess na kuahidi kuacha madawa that means alikuwa anatumia madawa najiuliza je Ile nyimbo na ule mstari ilikuwa na tafsiri gani juu yake na kwa jamii ya mashabiki wake.
Anyway tukumbushane tu leo ni Throw Back Thursday (TBT) nawasilisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa nini thursday? Na isiwe tuesday au hata iwe Triump..?