CKIA CMU KUTOKA U.S.A
OBAMA: vp dogo mambo yanaendaje?
KiKWETE: poa kaka shikamoo!
OBAMA: marahaba dogo! Dogo yule
raisi wa china kafuata nini huko?
KiKWETE: kaja hutubia kaka!Obama:
kwani kwao hamna majukwaa?
KiKWETE: yapo sema nini ameniletea
hela kidogo za kujengea ukumbi wa
mikutano!
OBAMA: cheki dogo mlivyo mafala
yani miaka 50 ya kujitawala bado
hamjajenga hata ukumbi wa
mikutano! Halafu nimesikia kakupa
mikataba mingi usaini inahusu nini?
KiKWETE:kaka mi mwenyewe siielewi
kwa sababu yote imeandikwa kichina!
OBAMA : angalia dogo usije kuuza
mali zangu bila kujua!
KiKWETE: hapana kaka mali zako zipo
salama!
OBAMA: haya dogo, mwezi wa sita
nakuja kukagua migodi yangu, mipaka
ya kigamboni na gesi mana nasikia
nyani wako wanaandamana kisa gesi!
Kikwete: nitajitahidi kuwatuliza kaka,
ila uje na hela za kuwapoza!
OBAMA: powa dogo ila jitahidi gesi
ije dar yote hapana kuwaachia kule!
KiKWETE: haya kaka ila uniletee na
hela nataka nijenge bandari
bagamoyo!
OBAMA: bandari ya nini wakati ya dar
inayenyewe inakushinda au unataka
maujiko kwenu?
Alafu na ile serengeti
national park naitaka
iwe yangu!
KIKWETE; kuhuxu ilo ucwe na tatzo na
ntakupa na zanyiongeza kama
mikumi,manyara na ruaha maana
wenzangu wanawachukua wanyama
wanapga pesa xaxa ngoja niziuze
niwakomoe.
OBAMA; Haya dogo
ntakuja na midola
mxalimie shem
KIKWETE; Xawa kaka!