SAD! Hiyo kauli yako imenikuta pabaya sana-ninachat na jamaa flani kutoka Australia-anapondasana serikali yetu kwa kukosa "priorities"!!!!
Anyway kaka unayetafuta wataalam wa fenicha (pamoja kuwa hauko specific!), jaribu kuwasiliana na mjasiriamali mmoja anaitwa "MANYUSI"-Search Humu JF kisha UM-PM.