CHATUPA tunaomba uchunguzi uliohuru wa kifo cha member watu ambaye inasemekana amekufa akikitumia Chama
Tuna mashaka kuna baadhi ya watu wanataka kukichafua Chama Chetu chenye wanachama wengi kionekane shughuli zake hazifai
Tunaomba Scotland yard,CIA,FBI,MOSSAD na mashirika mengine ya kimataifa ya kijasusi yatusaidie ni nini hasa kilichopelekea kifo cha mwanachama wetu