Naungana na mdau huyu kwa ushauri wake.Tumia terbinafine(lamisil) cream and terbinafine(lamisil) vidonge kwa wiki 2 cure rate yake ni nzuri.Hakikisha pia miguu inakuwa mikavu muda wote na epuka kuvaa viatu vya kufunika.Griseofulvin for one week Like seriously? Hao fungus tayari ni chronic na washaaform resistance
Cha kufanya...
Tumia strong acting antifungal kama
Terbinafine creame X2 /14 (tube ununue 2)
Na vidonge vyake X1/14
Kama ikifika sku ya 10 ukiona bdo haujapona ni Pm kabla haujamalza dose.
Hakkisha unakausha miguu vizuri kabla haujapaka hiyo creame na ujitahidi kupata Diet inayoongeza immunity hope utaona.
Tumia dawa ulizo pewa ushauri na wenzangu usipo pona nitafute mimi nipate kukutibia na upate kupona haraka.Wakuu naombeni msaada ni mView attachment 513591uda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana lakini hali ni tete kama picha Inavyoonyesha hapo chini nifanyeje maana kama kukamulia ndimu sijui maji ya moto na chumvi ndo usiseme
Mzizi mkavu unayo dawa ya kupata mapachaTumia dawa ulizo pewa ushauri na wenzangu usipo pona nitafute mimi nipate kukutibia na upate kupona haraka.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
Ndio ipo hiyo dawa ukihitaji nitafute kwa wakati wakoMzizi mkavu unayo dawa ya kupata mapacha
Insha Allah ntakutafuta.Ndio ipo hiyo dawa ukihitaji nitafute kwa wakati wako
Mkuuu dawa ni mafufa ya mgando pakaa. Pia epuka kuvaa soksi miguu ikiwa na majimaji. Ushauri pia usipende kuvaa viatu vya kufunika muda mreefu sana. Naribu kuvaa open shoes siku mojamoja.Wakuu naombeni msaada ni mView attachment 513591uda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana lakini hali ni tete kama picha Inavyoonyesha hapo chini nifanyeje maana kama kukamulia ndimu sijui maji ya moto na chumvi ndo usiseme
Pole.. Kanunue dawa ya vidonda inaitwa Iodine tincture.. Pakaa kwa siku tatu mfululizo.. Baada ya hapo fungus watakuwa ni historia.Wakuu naombeni msaada ni mView attachment 513591uda naathiriwa sana na fungus za miguu nimetumia aina nyingi ya tube za kupakaa bila mafanikio mara ya mwisho nimepewa vidonge (griseofulvin siku 7)na kozi imeisha jana lakini hali ni tete kama picha Inavyoonyesha hapo chini nifanyeje maana kama kukamulia ndimu sijui maji ya moto na chumvi ndo usiseme