Funguo za magari zinazotumia sensor

Brainze11

Senior Member
Sep 2, 2012
173
56
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya zaida au funguo umepoteza tunafanya Programming kwa bei nafuu. Pia kama kasha la funguo limechakaa unahitaji kubadili wasiliana nasi
0714704097.
Email:info@wakudesahrt.com
Website:www.wakudesahrt.weebly.com
fb38dc1a9069826ad37b01ce15cf8fca.jpg
710bc819c7266db0c1b3cce407aeade6.jpg
 
Situation ya gari au ya Funguo??
Ungetoa hata ya mfano

Kwa mfano funguo ya sensor kwa gar kama brevis kuprogram ni laki 3, ila unaweza kuta mtu alipo poteza funguo alichonga funguo ya kawaida ila gari halikuwaka so akampeleka fundi umeme wa magar akavuruga nyaya so ni kimpa bei hiyo.ntaprogram funguo lakin gar linaweza lisiwake it means hapo tena ina nibid nifanye kazi ya wiring.maana mtu ushamwambia kuprogram funguo ni laki 3 na gar litawaka
 
Ok Mkuu,
Ni ufunguo tu??
Unakuta gari ingine haiwaki sababu imepoteza memory, au control box imezingua, hapo vipi??
 
Ok Mkuu,
Ni ufunguo tu??
Unakuta gari ingine haiwaki sababu imepoteza memory, au control box imezingua, hapo vipi??
Unaona situation kama hizo huwez mpa mtu bei general,hapo lazima ufike kwenye gar iweke mashine ili ujue ina fault gani baada ya hapo ndo unaweza jua unaweza tatuaje na ukatoa gharama
 
Unaona situation kama hizo huwez mpa mtu bei general,hapo lazima ufike kwenye gar iweke mashine ili ujue ina fault gani baada ya hapo ndo unaweza jua unaweza tatuaje na ukatoa gharama
Kweli aisee, ngoja nitakushtua soon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom