ukawa hawakawii kukwambia umeshapewa chako na lumumba ila huo ndiyo ukweli wa jumla ambao ni mchungu kuusikia popote hasa kwa wadau wa ukawa
DODOMA :-
Katibu itikadi na uenezi na Campaign manager
CHADEMA ahamia CCM na kuahidi ushindi mkubwa
wa Magufuli.
CHADEMA yazidi kupwaya Magufuli akichanja mbuga!!
#HAPA KAZI TU!!
Rais Wetu Mtarajiwa Edward Lowasa tunakuomba ukiingia Ikulu umsaidie Magufuli japo ka ukuu wa wilaya. Magufuli anaikashifu sana serikali ya ccm mpaka ccm wamesusa kumpa uenyekiti wa chama, anatia huruma sana
watanzania Wa sass siyo wajinga kama wanavyo fikiri Wa kina ngwajima na mchawi mwezake.
Hivi ccm mmeshuka namna hiyo kiasi cha kutangaza mjinga mmoja akijiunga nanyi..hebu mpelekee makamba picha ya huyo jamaa akupe historia yake km magufuli hajajichimbia chini kwa aibu
Utamwitaje tena ngwajima jombaaaa????....huyu mimi namwita kibwetele yule mch.aliye wachomea waumini kanisani kwake baada ya sadaka....Cdm iliondoka na ZZK na Dr.Slaaa.....huyu mbowe kichwa chake sio kizuri....naanza pata hofu ata yeye alibeba lumbesa pale stambiki bank issue ya escrow kama alivyosema mbunge wa nkenge....Mbowe veveve jingaaa sanaaa jombaaa....Loawsa atatusahidia nn Fisadi mkubwa huyo....viva Dr.slaaa
Wachache wenye mlengwa wa mbali wanajirudisha kundini kozi wanajua fika kuwa lile genge la wahuni wa ukawa mwsho wake ni October 25
Viva lowasa viva hili songi bwana..........kombe linakwenda mondul
. Kama FISADI LOWAS alihamia chadema akawa msafi kwa wiki moja kwa uchafu wa miaka nane ya kampaini na MAJIZI NA MAFISADI akiwa kinara kwenye list of shame.....itakuwa huyu unaedai ni mjinga kujiunga na welevu unadhani itachukua siku ngapi kuwa mwelevu????
. Hacha cdm kife kabisa MALOFA nyinyi mnamfukuza Dr.slaa mnatuletea PANCHA LOWASS.....karibu kamanda ccm.
Duh habari umeiandika utafikir umekurupushwa. Katibu mwenezi wa wapi? Kituo chake cha kazi? Anaitwa nani? Ni kampeini meneja wa nani? Je na wewe ni great thinker wa JF? Kweli JF imevamiwa. Moderators angelieni hzi habari zenye mapungufu makubwa hazikai hata dk 5 hewani
DODOMA :-
Katibu itikadi na uenezi na Campaign manager
CHADEMA ahamia CCM na kuahidi ushindi mkubwa
wa Magufuli.
CHADEMA yazidi kupwaya Magufuli akichanja mbuga!!
#HAPA KAZI TU!!