FUNGUKA UJINASUE :- Chadema yamomonyoka

FUNGUKA UJINASUE :- Chadema yamomonyoka

watanzania Wa sass siyo wajinga kama wanavyo fikiri Wa kina ngwajima na mchawi mwezake.
 
DODOMA :-
Katibu itikadi na uenezi na Campaign manager
CHADEMA ahamia CCM na kuahidi ushindi mkubwa
wa Magufuli.
CHADEMA yazidi kupwaya Magufuli akichanja mbuga!!
#HAPA KAZI TU!!

Subri wanywa viroba wa Mbowe watasema amenunuliwa....sijui lichama lao lina bidhaa tu za CCM?
ANYWAY...ngoja nisubri buku saba yangu kutoka kwa mapovu ya Bavicha Bangi
 
Rais Wetu Mtarajiwa Edward Lowasa tunakuomba ukiingia Ikulu umsaidie Magufuli japo ka ukuu wa wilaya. Magufuli anaikashifu sana serikali ya ccm mpaka ccm wamesusa kumpa uenyekiti wa chama, anatia huruma sana
 
Duh habari umeiandika utafikir umekurupushwa. Katibu mwenezi wa wapi? Kituo chake cha kazi? Anaitwa nani? Ni kampeini meneja wa nani? Je na wewe ni great thinker wa JF? Kweli JF imevamiwa. Moderators angelieni hzi habari zenye mapungufu makubwa hazikai hata dk 5 hewani
 
Mbona unalialia...kwani nyinyi mlijipangaje?
 
Acha ushamba huyo fundi cherehani aliyepewa tender ya kushona nguo za ccm toka lini akawa campaign manager aisee. ..laki saba imemzuzuA namna hiyo wakati wanenguaji wanalipwa milioni mbili kwa kukata kiuno kwa dk 20 kwa kampeni za magufuli...na nguo zangu nisipozikuta kesho tayari nampeleka police.. mwambieni magufuli hii zoa zoa atazoa mizoga..wametafuta watu wa kuhonga warudishe kadi za chadema fake wamekosa sasa wamemchukua ---- huyo..

Duh kweli na nyie wana properganda wa ccm hamjitambui acheni usanii aisee hata wanasisiem ambao walikuwa hawajawatambua wataanza kutoroka ..
 
Subri wanywa viroba wa Mbowe watasema amenunuliwa....sijui lichama lao lina bidhaa tu za CCM?
ANYWAY...ngoja nisubri buku saba yangu kutoka kwa mapovu ya Bavicha Bangi

Huyu thamani yake laki saba tu hajanunuliwa ..
 
DODOMA :-
Katibu itikadi na uenezi na Campaign manager
CHADEMA ahamia CCM na kuahidi ushindi mkubwa
wa Magufuli.
CHADEMA yazidi kupwaya Magufuli akichanja mbuga!!
#HAPA KAZI TU!!

Ni asset au liability kwenu..jaribu kufanya uchunguzi
 
watanzania Wa sass siyo wajinga kama wanavyo fikiri Wa kina ngwajima na mchawi mwezake.

Watanzania wapi ambao hawana vitanda mahospitalini au wale ambao watoto wao wanakaa chini shuleni
 
DODOMA :-
Katibu itikadi na uenezi na Campaign manager
CHADEMA ahamia CCM na kuahidi ushindi mkubwa
wa Magufuli.
CHADEMA yazidi kupwaya Magufuli akichanja mbuga!!
#HAPA KAZI TU!!
ukawa hawakawii kukwambia umeshapewa chako na lumumba ila huo ndiyo ukweli wa jumla ambao ni mchungu kuusikia popote hasa kwa wadau wa ukawa
 
Haina shida hata siku ya kupiga kura lazima kuna kura zitaharibika na zingine ndio kama hizo zimeanza kuharibika na kuna watu lazima wataweka tiki sehemu zote mbili makufuri na kwa lowassa unakuta mtu amehama chadema amehamia ccm lakini bado kinamuuma na anatamani kurudi ila hajui ataanzia wapi na alisha isema vibaya ukwaa
Unajua ukawa kuna kila kitu ila pesa ndio hamna na hicho ndicho kinawashinda watu wengi hasa wale wenye tamaa na wanasahau kuwa watanzania wengi maisha yetu ndio haya leo umepata kesho umekosa na tunataka kujikomboa kwenye hii hali na tuishi maisha ya uhakika hata tuweze kura milo mitatu kwa siku.
 
Hana madhara labda angekuwa Lowasa au mbowe
 
Asante Mkuu
 
DODOMA :-
Katibu itikadi na uenezi na Campaign manager
CHADEMA ahamia CCM na kuahidi ushindi mkubwa
wa Magufuli.
CHADEMA yazidi kupwaya Magufuli akichanja mbuga!!
#HAPA KAZI TU!!

Yuko wapi Dr. Slaa?
 
hapa kazi tu, maigizo ukawa - tunataka kufanya kazi nchi iendelee maigizo lowasa apeleke kwa mkewe na wapiga deal wa ukawa
 
Back
Top Bottom