sijakuelewa ndugu yangu , kama BIOS password hazitunzwi kwenye Cmos Battery , inatunzwa wapi ? na hizo other BIOS information zinakuwa wapi ? manufacturer wanatoa technologia gani kukufungulia wakati password ni privacy yako ambayo haingii katika server zao ?
unaweza ukatoa msaada zaidi ndugu yangu