🤣 🤣 🤣 👊Vikosi vya SMZ,KMKM Huwa unalipa wewe?
Swali; Kuna Mzanzibari aliwahi kuja Bara akasema anahitaji Muungano?
Wewe Kwa akili Yako hujiulizi Kwa nini Bara wanalazimisha Muungano? Jibu ni wanafaidika kuliko wanachotoa ,by the way hawatoi pesa zote zinatoka Zanzibar.
Kama mna jeuri , vunjeni Muungano tuone au umesikia Wazanzibar wanataka Muungano? 🤣🤣🤣🤣
Hata Rais wa Zenj mnawazuga yule Mwinyi ni Mtanganyika.
Badala ya kulia lia kama mtoto ni Bora Waendelee kuongeza hizo GBS Hadi mkome,si mlitaka Muungano ndio Raha na gharama zake hizo.
🙋♂️✍️👊👍👏Tatizo unakimbilia kujibu kabla ya kusoma na kuelewa. TRA Zanzibar, inakusanya kodi Zanzibar lakini pesa inayokusanywa haipelekwi kwenye kapu la Muungano badala yake inatumika yote huko huko kugharamia mambo ambayo ni ya Muungano Zanzibar. Na huwa haitoshi, hivyo Tanganyika kulazimika kupeleka pesa nyingine Zanzibar iliyokusantwa Tanganyika.
Halafu wao walishakataa siyo watanzania ni masalia ya Sultan, pamoja na mama yao1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio mkopo , Lakini Hii mikopo yetu huku HESLB kuna kifungu tena cha Wazanzibar, yaani hiyo fedha ni kwa ajili ya Wazanzibar tu, Yaani fedha ya Tanganyika inatumika HESLB ambayo imekusanywa na TRA huku Tanganyika inakwenda Zanzibar kuhudumia mikopo ya Elimu ya juu
Wewe nyumbu hii ni nini hapa ? 👇👇Chawa Kwa sasa TRA zanzibar haina makusanyo zaidi ya bilioni 2 , ZRA imechukua kila eneo la TRA na watumishi wa TRA kule wanalia kila siku, hakuna tena TRA kule imebaki story tu, endelea kupiga makofi sasa
Acha kuongea stori za kufikirika wewe nyumbu.Huo umaskini utokee wapi wakati Wana Rasilimali na wako wachache?Wazanzibari hawaelewi. Wanadanganywa na wajinga wenzao kuwa eti bila Muungano wangekuwa vizuri sana, lakini ukweli ni kuwa Zanzibar leo hii ikiwa nje ya Muungano, itakywa maskini kuliko hata Burundi. Zanzibar na Wazanzibari wanatunzwa na Tanganyika.
Wajaribu watoke kwenye Muungano waone watakavyokuwa.
The sunk,
Mtoa mada amedai kwamba Znz inachukua mkopo na Tanganyika ndio huwa na jukumu la kulipa akatolea mfano wa mkopo sac korea wa kujengea hospitali.
Na pia amezungumzia kuhusu Mama samia kubadilisha 4.5% mpaka 9% na si mkopo tunawapa kwa madai ya mtoa hoja. Sasa TRA Kwanini wawe wanawakandamiza Auckland Tanganyika iwe inawakandamiza watu 1.5 milioni kwa mlinganyo wa watu 60milioni?
Mkuu the sunk,
Vipi kuhusu wabunge ambao wapo huku pesa za kuwalipa na gharama huwa zinatoka wapi?
Lakini pia mtoa mada amesema kwa sasa Znz ina TRA yao na wanakusanya mapato yao na wanatumia huko huko sasa anadai Kwanini tutoe pesa ya kuhudumia Elimu ya juu ya kwao?
Wanasoma basi? Wao wanasubiri kusikiliza OMO na Jussa wamesema nini!Hiyo ya Zanzibar kupewa 9% badala ya 4.5% ni hakika labda kama umebweteka hufuatilii taarifa mbalimbali.
Taarifa iliwekwa wazi, hata kwenye ule mkopo wa Covid 19 ilielezwa wazi kwa kuzingatia hivyo vigezo vipya vya Samia.
Tueleze source za mapato ni zipi?.
Mikopo ya SMT ni mikopo ya Muungano, Zanzibar hupata gawio lake la mikopo hiyo pale inapokopwa, Hii mikopo hulipwa na SMT kwa kupitia source za mapato za Muungano.
TRTRA na mamlaka zingine za Muungano zinafanya nini Zanzibar zaidi ya kukusanya pesa zao? So Kwa nini Wazanzibar wasiwe na Chao kwenye Muungano wakati hela zao zinachukuliwa?
source zipi? fafanue, ile gawio la mkopo tunaokopa wao huwa wanalipaje ile asilimia yao waliyopewa. tutalea hadi lini hawa watu? tunafaidika nini nao?Mtoa mada ni mpotoshaji,
Kuna mikopo ya aina mbili, Mikopo inayokopwa na JMT na mikopo inayokopwa na SMZ huku SMT ikiwa kama Dhamana.
Mikopo ya SMZ inalipwa na SMZ wenyewe, na ndio mana kama umetizama mikituno ya Jussa karibuni amekuwa akiishamublia sana serikali ya Dr Mwinyi kuhusu mikipo kuwa mengi kupindukia.
Mikopo ya SMT ni mikopo ya Muungano, Zanzibar hupata gawio lake la mikopo hiyo pale inapokopwa, Hii mikopo hulipwa na SMT kwa kupitia source za mapato za Muungano.
Bara imeenda Zanzibar kufanya nini?Kodi za TRA Zanzibar zinatumika Zanzibar tu haziingii hazina ya Tanzania
TR
Jaribu kuwa mfuatiliaji kidogo mkuuBara imeenda Zanzibar kufanya nini?
NakaziaTundu Lissu akipiga makelele kwenye jukwa si mnamuona chizi watanganyika muungano uvunjwe.
source zipi? fafanue, ile gawio la mkopo tunaokopa wao huwa wanalipaje ile asilimia yao waliyopewa. tutalea hadi lini hawa watu? tunafaidika nini nao?
mapato yepi ambayo sisi tunashea kuyapata na zenji?
haya yote umeyataja, ni makusanyo ya mapato Tanganyika, kwasababu zanzibar wana ZRA yao. kama mitandao wanayo ya kwao zantel. swali letu lilikua ni, kwasababu zanzibar wana ukusanyaji kodi wa binafsi ukitofautisha ule wa bara, kwanini makusanyo ya bara yalipe deni ilikudingi asilimia alizokula zenji?Kodi yoyote inayokusanywa na TRA (ukiotoa VAT)
kama income Tax za makampuni na biashara, Paye, Ushuru wa Forodha
Tozo za aina zote e.g za mitandao ya simu
Visa fees
leseni zote za mashirka kuanzia, makampuni ya simu, ma bank
Mapato ya Anga
Misaada
fain zote zinazotokana na Wizara za Muungano
Hayo kwa uchache tu