Unazo window type na kama unazo unauzaje?
Unazo window type na kama unazo unauzaje?
Si nimekwambia uweke picha sasa?? unachoona uvivu ni kitu gani??? a picture worths a thousand words bana, na hayo maswali mengine yangekuwa yameshajibiwa kwa picha tuu, mjashine zina ukubwa gani na kadhalika. Are you a really marketeer???Wapendwa karibuni ktk tangazo letu.
Karibuni wadau.
Tulishakuambia tangu mwanzo utupe somo kuhusu hizo specifications za mashine zako. Kwa mfano, HP1 unafunga kwenye chumba cha ukubwa wa mita ngapi za mraba na kadhalika. Mimi ninajenga nyumba ambayo nataka kufunga split ac kwenye vyumba vitatu vyenye ukubwa tofauti. Elimu kuhusu mashine hizo ingenisaidia sana kufanya uamuzi, na mwisho wa siku, huwezi kujua, tunaweza kufanya biashara!!