Ww mawazo yko na hoja vyote kwa pamoja mgando...tafuta cha kuyeyushia hlo danguro naona lilikulaani ndo mana huwez fikiria nje ya box..
Bdo kinda sn unahitaj akili za kushikiliwa kw manati

Hapana sijangombana na mtu yeyote lakini wapo wengi sana mtaani wanaojifanya eti wamesoma, huku kila siku wamekuwa tengemenzi kwa jamii, badala ya wanajamii kuwatengemea wao.
Kipara upo sahihi sana na wanaokuponda hawajaelimika...mtu ana MBA na bado mwaka watatu na ushee hajajiajiri na anatafuta ajira magazetini na akiitwa kwenye usiali anapiga chini sasa hapo elimu ni ukombozi kweli?

Ni kweli mkuu, unajua hakuna kitu kinachouma kama ukweli,
mtu ukimwambia ukweli , kwa mfano wewe unanuka mdomo tena kwenye watu wengi, lazima ataumia. na kuanza kukuponda.