Fundisho kwa wasomi

huyo hata SAUT MTWARA hawezi pata. anasubiri kwenda Eagle wing
 
huyo hata SAUT MTWARA hawezi pata. anasubiri kwenda Eagle wing

Muathirika wa maada, pole sana mkuu
kama hauna cha kufanya na unajiita unaelimu,
pole sana
 
Kweli akili ni nywele kila mtu nazake ss wew jna lko tu ...kipara ss utaelewaje?!
Tupishe
 
Mkuu kwa sasa nipo mangomeni,
ulikuwa ni ungeni tu kwenda kupanga mwananyamara.KUKU MUGENI HAKOSI KAMBA MIGUUNI.
sasa mambo shwariii!!!!

Hongera kaka kuhamia Migo*2. Ni Magomeni ipi hiyo ? maana kuna watu wanaipandisha chati Kagera kiiita Magomeni. Uko karibu na bar gani ? Napenda bar za Magomeni mie...m
 
Hongera kaka kuhamia Migo*2. Ni Magomeni ipi hiyo ? maana kuna watu wanaipandisha chati Kagera kiiita Magomeni. Uko karibu na bar gani ? Napenda bar za Magomeni mie...m

Karibu tuje tule bata!
 
shikamoo elimu ya Tz
 
Hivi bado unafanya kazi ya kufungua mageti name elimu yako ndio maana una machungu name kudiscourage wenzio
 
Hivi bado unafanya kazi ya kufungua mageti name elimu yako ndio maana una machungu name kudiscourage wenzio

Kufungua mageti nayo ni kazi pia!

na ile thread nilitumia njia kwa ajili yakufikisha kilio cha wakulima kwa jamii.
ila kwa kuwa ulisoma katika mfumo wa kukariri ndiyo maana unakuwa na akili mgando kiasi hiki
 
Umevurugwa na maisha tu huna lolote
 
Umevurugwa na maisha tu huna lolote

Maisha yamenivuraga! hehehehe! pole sana.

hafu unaonekana ni felia ya form four! lakini watu wenye elimu zao wanajua mimi nawapa somo, wanafunzi ambao wako chuoni wasibweteke na elimu yao pindi wakimalinza masomo.

lakin kwa kuwa wewe akili yako haina akili umeendelea kukomenti ufelia wako hapa
 
Hebu niishi hapa ,MTU mwenyewe kuandika yenyewe shida.kwa taarifA yako wengine tumo humu for leisuire tu .
 
Tuanzee na wewe kwanza..em tuambie kuhusu elimu yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…