Serikali ya CCM haiwezi
kuacha Utapeli kwa WALIMU wa Tanzania, kama huwezi kuamini kauli hii
tazama mshahara waliokuongezea kupitia NMB mobile usiku huu. Wanachoweza
kumuongeza Mwl wa Tanzania sio mshahara bali ni kubadilisha rangi ya
T-shirt za Mei-Mosi. "UNGANA NA WALIMU WENGINE KULAANI DHURUMA NA UONEVU
HUU KWA WALIMU WANYONGE WA TAIFA HILI, ambao wamechoshwa na viongozi
& serikali uchwara wa CCM. Lazima ing'oke kwenye chagzi zijazo kwa
laana hii kubwa