Wivu tu... Maneno yako yaonyesha una nongwa.. Comment vzr, usipanic mkuuMtoa mada akili huna yule msanii alichukuliwa na wasafi akiwa hajui hata kutaja neno malaika anasema maraika alikuwa Hana mbele Wala nyuma hiv angekuwa anabaniwa angekuwa hapo alipo Leo? unajua how much WCB wamesipend kwa ajili yake? unajua wcb wamemdefend kwa mashabiki kwa kuwa akilalamikiwa ana iga uimbaji wa boss wake.Harmonize ni msanii aliyekuwa anapigwa vita sehemu nyingi lakin management yake ya WCB ikapambana Sana lakini ndio msanii waliobrand kwa uzito mkubwa kuliko wasanii wengine wa WCB alafu Leo unaongea upuuzi Kama huu wewe subiri muda utaongea.
Mtoa mada akili huna yule msanii alichukuliwa na wasafi akiwa hajui hata kutaja neno malaika anasema maraika alikuwa Hana mbele Wala nyuma hiv angekuwa anabaniwa angekuwa hapo alipo Leo? unajua how much WCB wamesipend kwa ajili yake? unajua wcb wamemdefend kwa mashabiki kwa kuwa akilalamikiwa ana iga uimbaji wa boss wake.Harmonize ni msanii aliyekuwa anapigwa vita sehemu nyingi lakin management yake ya WCB ikapambana Sana lakini ndio msanii waliobrand kwa uzito mkubwa kuliko wasanii wengine wa WCB alafu Leo unaongea upuuzi Kama huu wewe subiri muda utaongea.
Si wana "kwini dalini"...af mbna hatumskii ama nae kajitoaNafikiri ni wakati wa wcb kutuletea mastaa wapya. Tumempoteza mavoko tumempoteza na harmonize ili pengo linatakiwa lizibwe. Hao waliiondoka siamini km tutawaskia tena kama mwanzo.
Wasanii wa bongo sijui hawajifunzi au nikujitoa ufahamu.... Huyu hana miaka 2 kwenye game, kuna wasanii wa Marekani ni ma billioner lakini bado kwenye lebel... Sijui tunakwama wapiHata Rich Mavoko alikuwa msanii mkubwa sana.
Harmonize kama kweli anatoka awe wangalifu sana. Ata hit ila sidhani kama atavuka miaka 5. Pia litakuwa somo kwa wengine.
Huku jf kuna kila aina ya watu mkuu usishangae hata wanao mjadili hata ya dogo ni watu wake wa karibu, kuna watu wanakusoma soikolojia na wanajua hatma yako.... Kuna waganga humuJamiiforums kuna watu wanajua kila kitu kuliko wahusika.
Hizo ngoma nyingi na collabo nyingi tena za kimataifa connections katoa wapi?Kuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa WCB... Viongozi wa WCB walikuwa wakimbania sana Harmonize ili asimzidi Boss wake Diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka. Dogo anangoma nyingi na kolabo kibao. Bora umetoka uongozi mchafu ni majanga.
kweli mkuu nilikua nasikiliza audio ya kainama nikajua alieanza kuimba ni diamond.... kuja kucheki video nikatahamaki sanaMi ananiboa vile anavyoiga sauti ya diamond ....nikiwa nasikiliza nyimbo zao redioni nashindwa kutofautisha huyu ni diamond au harmonize! Sasa ajitahidi awe na utambulisho wake
daaah yan watu mnavyoongea utadhani ni wafanyakazi wa WCB tena c tu wafanyakazi yan n kama n mameneja pale WasafiKuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa WCB... Viongozi wa WCB walikuwa wakimbania sana Harmonize ili asimzidi Boss wake Diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka. Dogo anangoma nyingi na kolabo kibao. Bora umetoka uongozi mchafu ni majanga.
We sara mzungu nn?Kuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa WCB... Viongozi wa WCB walikuwa wakimbania sana Harmonize ili asimzidi Boss wake Diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka. Dogo anangoma nyingi na kolabo kibao. Bora umetoka uongozi mchafu ni majanga.
Inaonekana hata ukiombwa 0713 na mmakonde utampa.Safi sana Jeshi.. Good choice! Pambana kivyako.. Maisha ni kupambana period! temana na hao kina babu tale wanajikutaga sana Miungu watu!
Mkuu umeona mbali sana hata akina TID walianza hivihviAkianza kuomba bia bar msimkwepe
Hivi kati ya Harmonize vs Lavalava, Harmonize vs Mbosso, Harmonize vs Diamond, ni nani ametoa ngoma nyingi over the past 1 year?!Kuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa WCB... Viongozi wa WCB walikuwa wakimbania sana Harmonize ili asimzidi Boss wake Diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka. Dogo anangoma nyingi na kolabo kibao. Bora umetoka uongozi mchafu ni majanga.
Mbona ndio mwenye nyimbo nyingi mwaka huu zaidi ya wasanii wote wa wasafi?Kuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa WCB... Viongozi wa WCB walikuwa wakimbania sana Harmonize ili asimzidi Boss wake Diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka. Dogo anangoma nyingi na kolabo kibao. Bora umetoka uongozi mchafu ni majanga.