Fundi wa tv anahitajika haraka

Fundi wa tv anahitajika haraka

moa mmari

Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
38
Reaction score
3
Fundi wa TV aina ya sansan 32'' led TV , Ilizima tuu ghafla, nipo Moro au kama kuna anaye yajua maduka ya kampuni hii kama yalivyo maduka ya Samsung anijuze
Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom