Fundi wa relevant wa Printer ya Bizhub Minolta

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
239
195
Wakuu habari ya jumapili. Nina Colour printer ya ofisi aina ya Konica Bizhub Minolta C 280 Niliisafirisha toka Dar kwa sasa ipo Arusha mjini. Tatizo tangu ImageUploadedByJamiiForums1401006655.599763.jpg ImageUploadedByJamiiForums1401006655.599763.jpg ImageUploadedByJamiiForums1401006655.599763.jpg imefika hapa inakataa kufanya kazi, kwa kutoa error kadhaa. Kwa sasa inatoa error 5501. Nahitaji fundi ambaye anazifahamu vizuri hizi printer tukubaliane nitampa shilingi ngapi aje anitengenezee. Naomba kama kuna mtu unamfahamu, au wewe ni fundi nicheki kwa 0787/0767/0716-343632. Natanguliza shukraani
 

Fakhi Jumaa

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
239
195
Naomba usikonde kwa arrangement mbaya ya post. Pia kama ni fundi naomba pia unaweza kuni Pm. Au waweza kutumia facebook name Pitchou Mwango ukanistua au insta "Effects Media". Pia namba zilizotoa ya voda na Airtel zipo kwenye WhatsApp. Thanks wakuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom