umeona sasa baada ya
kueleza kuwa dogo aliiramba na majibu yanakuja...! mi nlishawahi soma
mahali flani hivi ila wao walikuwa wanazungumzia njia rahisi za kuiokoa
simu yako iliyotumbukia majini...wakasema unaweza ukaifungua yote then
itie kwenye mchele ifunikwe kabisa..ule mchele unasaidia kukausha unyevu
wote kwenye electronic devices kama hizo (its funny eeh!!?) ..actually
sijawahi jaribu but kama vipi unaweza jaribu kwa modem yako, maybe
inaweza kukusave..!!