Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,892 Reaction score 52,491 May 17, 2015 #1 Habari zenu? Nahitaji fundi wa laptop wa uhakika anisaidie kumalizia kuweka windows. Manake nimekwama naona inaniletea maelekezo nisiyoyaelewa. Kwa anayeweza kunisaidia aniPm mie nipo Dar.
Habari zenu? Nahitaji fundi wa laptop wa uhakika anisaidie kumalizia kuweka windows. Manake nimekwama naona inaniletea maelekezo nisiyoyaelewa. Kwa anayeweza kunisaidia aniPm mie nipo Dar.
K kayimukaa JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 498 Reaction score 682 May 17, 2015 #2 Nicheki mi nipo dar ubungo na ni fundi kompyuta mzoefu- 0686591570