Fundi wa kushona Uniform

Fundi wa kushona Uniform

Mimi nitakusaidia kazi hiyo, nina mafundi wa kutosha, nina ofisi mbili tabata kimanga stendi kabisa, na pia tabata DA WEST.....kARIBU SANA,bei naamini hatutashindana, kazi, ubora wake ndio la msingi kwanza...Sample nitakushonea bure.

pia naweza kuja ofisini kwako,tukaongea vema, ili kuokoa muda wako, na kazi ifanyike upesi

Kwa mawasiliano...0715 680 773
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom