Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,653
Kama wewe ni fundi hodari wa kushona nguo za kiume(mashati na suruali) na huna kazi au hujaajiriwa:-
- Taja sehemu ulipo
- Umri
- Mshahara wa kuanzia
Sawa mkuuWakihitajika wa nguo za kike nistue
Bado upo?Wakihitajika wa nguo za kike nistue
Nipo mbeya mkuu, umri ni 22Kama wewe ni fundi hodari wa kushona nguo za kiume(mashati na suruali) na huna kazi au hujaajiriwa:-
- Taja sehemu ulipo
- Umri
- Mshahara wa kuanzia