Fundi vinanda plz.

Baba advent

Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
72
Reaction score
16
Jamani wenye ujuzi wa kuripea vinanda,kinanda chetu kiliungua 2007 hadi leo hakijapona licha ya mafundi kupitia na kuchemsha.(yamaha psr 2100)
 
Upo wapi? mafundi wanasema kimekufa nini? usikute ni Circuit Board imekuwa mkaa....
 
Ebu mjaribu huyu mheshimiwa....yupo mbezi beach kama we nimakazi wa dar..pale karibu na bar maarufu ya nguruko....0754968207
 
Nenda pale KVD mtaa wa makunganya, kuna fundi mzuri wa keyboard, kwaya nyingi zinanunua na kutengenezea keyboards zao pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…