Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Habari zenu wadau JF?
Kwa wale wakazi wa Arusha mjini na viunga vyake,napenda kuwatangazia kuwa na recommend fundi wa UMEME WA MAJUMBANI anaitwa VICTOR.
Aanafanya kazi zake kwa ujuzi mkubwa na umakini pia ana bei nafuu.Anafanya wiring,kuondoa matatizo yote ya UMEME.
Mawasiliano yake ni 0755807129
Asanteni na tumpe kazi kijana wetu.