Habari zenu waungwana,
Me ni kijana mwenye taaluma ya umeme wa majumbani, Mwenye kuhitaji fundi kwa ajili ya kufanyiwa wiring au kulekebishiwa hitilafu katika nyumba yake asisite kuwasiliana nami 0718 30 21 32.
Napatikana Ilala ila kwa maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam nafika ukinihitaji.
Pia natoa ushauri kuhusu mambo ya kiumeme.