Fundi umeme natafuta kazi

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
838
Kwa mara nyingine tena kijana wenu nakuja kwenye jukwaa hili kuomba nafasi yoyote ya kazi ambayo itakuwa halali.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 27, Elimu yangu nina certificate of electrical and automation umeme wa majumbani Na viwandani. Nimekuja hapa kwa mara nyingine kuomba kwa yoyote aliye na kazi au aliyesikia kazi mahali popote pale sichagui kazi yoyote nitafanya iwe ya halali tu.

Ninaweza kufanya kazi kama mfanya usafi wa ndani na nje, gateman, na kusimamia miradi, mtunza bustani, kazi za ufundi umeme majumbani ,viwandani na maofisini au Msaidizi wa fundi umeme. Nina kipaji cha kufundisha core subject na patiko ya electrical katika Vocation school kwa level one na level two au kwa yeyoto mwenye hitaji la kujua umeme (wewe au mwanao)

Napatikana Dar es Salaam ilala kwa aliye tayari aniambie ili tupeane mawasiliano. Niko serious ndugu zangu, hata mtu akiniambia niende kesho nikafanye kazi naenda tu.

Mungu awabariki sana.@kijana
 
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
Back
Top Bottom