Wakuu wa humu, msaada wenu unahitajita. Tafadhali mwenye uwezo au anayemfahamu fundi ujenzi tuwasiliane au aniunganishe naye. kazi yenyewe ni kumalizia vibaraza viwili vya nyumba. itakuwa vizuri kama mtu huyo atakuwa anatoka maeneo ya G/mboto, Pugu au hata chanika. Natanguliza shukrani zangu.