Fundi Ujenzi anahitajika

Mimi ni mtaalamu wa ujenzi, sihitaji hio kazi lakini naweza kukupa ushauri bure wa kitaalamu.
 
Mi mwenyew najiuliza bado mana hajajibu
Mafundi wengi hawajui hata negotiation anasema chochote akifika site akalipwa kidogo na akaona kazi ni kubwa anakimbia
 
Shida yenu hamuelewi,hizo materials zimeshalipiwa zote kama zilivyo hapo na ziko stoo tayari kwa kazi anatakiwa fundi aangalie kama zitamtosha kwa mahitaji ya kazi kama ilivyoelekezwa pamoja na muda wa kufanya kazi
Umeshapata fundi?!
 
Umeshapata fundi?!
Bado naona watu wanatoa namba za simu tu badala ya kutoa taarifa ambazo zitanipa uelekeo wa kunishawishi niwape kazi au la.Nafikiri hii pia ni moja ya shida zinazofanya watanzania tushindwe kuwa na ushindani kimataifa.Kwa jinsi nilivytoa taarifa na maelezo hapo juu ina maana tayari kama mtu ni fundi mzoefu ana uwezo wa kuchukua hizo taarifa kuzifanyia kazi na kisha anitafute ama kwa email au pm kisha anieleze kidogo kuhusu kazi yake uzoefu wake na gharama zake ili nifanye mchakato.Naona wengi huku wamezoea ama kupewa kazi kwa kujuana au kuonewa huruma au kupendelewa na sio kwa kuwa competitive.Ila naendelea kusubiri labda atatokea mwenye uelewa achangamkia hii kazi.
 
Nyumba ya vyumba 7,sitting room, toilets be gani finishing..
Vyumba ni 2.5x2.5 mita kasoro viwili, kuna 3.5 x2.5 na 3.5x7.5 mita, sebule 4.5x10 meter toilet na bafu ni 3.5x2.5 mita pia kuna kolido mbili moja ina upana na urefu wa 1x14mita na nyingine 1x8mita veranda ni 3.5x3.5.
Makadirio ya chini kabisa kwa nyumba ya kisasa
 
Mkuu ngoja nije pm
 
Tuma Raman nikukadirie
 
Nimependa mchanganuo wa kazi...
Ila naona material ni machache sana mfano tofali hapo makadirio inaenda tofali 4,500 tiles ni chache bati chache kila kitu kichache...
Na ujenzi wa nyumba kwa siku 30 ni hatari sana unakaribisha nyufa... Cement lazima ikauke vyema na kunyonya maji... Umwagiliaji wa zege tu ni siku 3 to 4....

Anyway wish you all the best..
 
Asante kwa mchango wako,nimeona umefanya mara tatu ya idadi ya tofali ingawa kwa makadirio yangu natarajia kutumia kama tofali 2000 hivi ila asante kwa maoni
 
Mbona hizi hesabu hujaweka majibu yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…