Salaam wakuu!
Nahitaji Fundi mzoefu wa Flat Tv. Tv yangu ni aina ya TECHWOOD 32" .. Tatizo ni power.
Kama yuko tayar kunitengenezea nyumbani kwangu ni PM .
Nyumbani ni Mjimwema Kigamboni