Massey ferguson 698 ina tatizo la breki naomba ushauliHabari za kazi wanaJF
Ningependa kutangaza upatikanaji wa huduma za kiufundi kwa wenye trekta na vyombo vinginezo vya ukulima kama vile combine harvester, generator, pump na kadhalika.
Tatizo liwe ni engine, mfumo wa hydraulic, transmission/gearbox au hata service za kawaida, huduma ni ya hali ya juu na kutumia vipuri halisi na bora.
Mawasiliano: twaeza tumia inbox ya hapa JF ili kuwezesha ufatiliaji kwa urahisi - reputation building.
Asanteni.
Habari za kazi wanaJF

Wewe uko wapi??Habari za kazi wanaJF

Contacts zako je??Karakana/ofisi iko Morogoro mjini.
Mmmmhhhhh,Karakana/ofisi iko Morogoro mjini.
Poa, nitumie InboxInbox pls
Hbr za leo kaka,Mkuu nataka kununua used massey MF 375 naomba ushauri
Juu ya 1. Capacity yake wakati wa kulima
2. Fuel Consumption
3. Durability yake
Naomba ushauri wako u compare na Mashine za sasa kama newholland