mkuu inamaana ujaiona hapo juu kai list kwamba anacheza nayo vizuri tu.I phone unaweza
Sasa si aende huko apple wametoa ofa atakayeweza kuikorokoa simu yao !mkuu inamaana ujaiona hapo juu kai list kwamba anacheza nayo vizuri tu.
Samsung vioo hatari! Bei ya Dukani S7 edge bei kioo Tsh 400000 mpaka Tsh 370000, used 300k kushukaaisee, mimi kama umeniona, simu yangu kama hii ni samsung
View attachment 1186794
kioo kimevunjika, nilipoambiwa bei karibu lak2 nikaifungia ndani! sijui unanisaidiaje
Kioo used cha note 5 ni shilingi ngapi?Samsung vioo hatari! Bei ya Dukani S7 edge bei kioo Tsh 400000 mpaka Tsh 370000, used 300k kushuka
Mimi nahitaji sim card Tray ya "Nokia 6.1" unaweza nisaidia kupata??Unasumbuliwa na simu yako:
IPHONE
SAMSUNG
TABLETE ...
Fundi niko kariakoo mtaa wa Aggrey na Msimbazi ,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna badilisha battery yandani kwandani
Na pia tunachonga ma battery ya addim (batr ambayo hayapo madukani) tuna badilisha glass protector kwaajili ya kukinga simu yako isivunjike kioo ikindondoka kwabahati mbaya. Unakuta Glass pekee ndo inavunjika.
Nakama una simu Samsung ambayo kioo chake nicomplet alafu imepasuka kioo chajuu lakin inafanyakaz vizuri, haina aja yakununua kio chalaki naa ! Naweza kubadilisha kioo chajuu kwabei nafuu
Kama simu yako inajitach yenyewe... Kwenye mesej unashindwa kuandika muda mwingine unakuta mpaka uzungushe simu yako kama unaendesha gari ili uandike vizuri, shida nitach ibadilishe,
Ata ukiwa mkoani waweza ituma cm ako kwanjia ya bas ya Dar es salaam ntaipokea nakuirekibisha kisha nakutumia cm yako bada ya marekebisho
Maswali naushauri nibure .
Fundi Isaac Issa nawakaribisha wote
Piga simu au whatsapp mesej
+255744778873
+255659778873View attachment 1186768View attachment 1186769View attachment 1186771View attachment 1186772
Akijibu nishutue. nahitaji pia simcard trey ya SAMSUNG A 8Mimi nahitaji sim card Tray ya "Nokia 6.1" unaweza nisaidia kupata??
Bei ya simu mp ya kabisaSamsung vioo hatari! Bei ya Dukani S7 edge bei kioo Tsh 400000 mpaka Tsh 370000, used 300k kushuka
Asante. nilishapata kwa kuagiza AliExpressDaa kwanza nikupe pole kwa kutokujibu kwa wakati! Trey line ya nokia 6.1 ndio waweza pata nitafute kwa njia ya simu kama hujapa bado...
Sent from my iPhone using JamiiForums