sirleondavid
JF-Expert Member
- Sep 30, 2012
- 377
- 25
- Thread starter
-
- #101
can you update lg c900 wp7
Lg yako imetoka network gani kati ya hizi?
LG C900
AT&T LG-C900AT
LG C900B
BELL MOBILITY LG-C900BAT
BELL WIRELESS ALLIANCE LG-C900BAT
LG C900K
TELSTRA AUSTRALIA LG-C900kAT
TELECOM NEW ZEALAND LG-C900kAT
at&t......hiyo ya kwanza
at&t......hiyo ya kwanza
blackberry bold haiwaki itakua bei gani
kuflash blackberry pamoja na ku unlock kiac gani?
simu yako model gani?
simu yako inatatizo gani?
pia haisomi sim card za tanzania kama vile tigo, voda, airtel etc?
pia ukiweka line inakupa messege gani?
if it says MEP (0)
that means zero attempts remain i can do nothing with such phones.
unlocking and flashing prices differs on phones models.
ni blackberry 9700 ukicharge ina blink red led lakini haiwaki
tatizo lilianza vp?
je ukiweka ktk charge ina blink ile led indicator?
if yes itakua ya kuflash.
mimi nipo USA nataka kuja bongo, nataka kununua simu ambayo locked. Kwa ushauri wako ninunue simu kutoka kampuni gani ya simu. Narudi bongo hivi karibuni.
Thanks fundi
baada ya flashing,
Now its working super,
but charge haikai kama mwanzo!
what culd b the prob?
mimi nipo USA nataka kuja bongo, nataka kununua simu ambayo locked. Kwa ushauri wako ninunue simu kutoka kampuni gani ya simu. Narudi bongo hivi karibuni.
Sista Sophia naomba kama kuna uwezekano na mimi nikuagize locked phone,
nataka iphone 5 from AT&T.
please PM me if possible.
nyie ndo mnaibiwaga nyie!
fundi nimetumiwa nokia E72 kutoka uk,
ukiweka line inaandika phone restricted!
hii ni nini tatizo?
Simu yako ipo locked.
and its SL3 phone type.
unlocking time available at different cost
instant unlocking = 70,000/=
one day = 45,000/=
two days = 40,000/=
karibu mkuu.