NTT DOCOMO ni mtandao wa japan hiyo simu bila shaka ni LYNX 3D SH-03C, jamaa aliniletea ofisini nikaifanyia analysis. Majibu ni kwamba ni simu mpya na mchakato wa unlocking bado upo under research and development. Naamini baada ya wiki kadhaa solution itakuwa tayari.