Fundi ninashida ya kupakiwa nyumba yangu rangi,,, sina pesa nyingi ila kama ww ni fundi na unashida kama mimi twaweza saidiana. Kuhusu mahala nyumba iliko ni bunju muhimu kuzingatia nahitaji fundi wa kupaka rangi nje na ndani.. Na
1. Ushauri wa rangi nzuri yenye kuvutia ..
2. Bei ya ndoo kwa kila aina uloshauri
3. Vifaa hitajika
4. Gharama (labour charge)
asante

0766111212..jamaa anaonekana ni mtaalamu sana wa rangi..cheki nae hapo..na kuna post yake unaweza ukaangalia na kazi zake..