Nzuri sana , zina life span ya muda gani? Zinataka maandalizi gani pale ukutani kabla ya zenyewe kubandikwa?
Mana nimeona sehemu ,jamaa alipomaliza kujenga tu ukuta wake kapiga tiles mmoja matata sana na imependeza balaa , hajaingia gharama ya lipu, plasta wala upuuzi mwingine .