E EMMAN Member Joined Sep 4, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Jun 10, 2013 #1 Ndugu wana jf, anahitajika fundi pikipiki mwenye uzoefu wa kutosha katika kazi hii. Kwa maelezo zaidi piga 0713 727676.
Ndugu wana jf, anahitajika fundi pikipiki mwenye uzoefu wa kutosha katika kazi hii. Kwa maelezo zaidi piga 0713 727676.
mpushi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 280 Reaction score 77 Jun 10, 2013 #2 Anahitajika wap? Taja mahali ulipo na unamtaka kwa temporaly job au permanent?
M mitutwe pazi Senior Member Joined Feb 16, 2013 Posts 150 Reaction score 28 Jun 10, 2013 #3 Sema mahali ulipo...
E EMMAN Member Joined Sep 4, 2011 Posts 11 Reaction score 0 Jun 11, 2013 Thread starter #4 mpushi said: Anahitajika wap? Taja mahali ulipo na unamtaka kwa temporaly job au permanent? Click to expand... Mi niko DAR ES SALAAM, maeneo ya tabata Kimanga. Fundi anahitajika kwa ajili ya permanent job! lakini ingekuwa vizuri kama ungepiga hio No nilokupa nikakupa maelezo zaidi! asante sana!
mpushi said: Anahitajika wap? Taja mahali ulipo na unamtaka kwa temporaly job au permanent? Click to expand... Mi niko DAR ES SALAAM, maeneo ya tabata Kimanga. Fundi anahitajika kwa ajili ya permanent job! lakini ingekuwa vizuri kama ungepiga hio No nilokupa nikakupa maelezo zaidi! asante sana!