Bei zake zipoje??Kuna jamaa mmoja matata sana anaitwa senzia yupo maeneo ilipo Barclays bank na ofisi za sopa lodge.ukishapita aicc hospital mbele unakunja kulia.ukiuliza utampata.
Kwanini umefikia maamuzi ya ajabu kias hicho???tuje hapa
Ukipata fundi Mzuri na kitambaa kizuri za Kutungua hazioni ndani kitu unapimwa according to your bodyKwanini umefikia maamuzi ya ajabu kias hicho???tuje hapa
Nitakosea nikisema umekurupuka??tuanzie hapaUkipata fundi Mzuri na kitambaa kizuri za Kutungua hazioni ndani kitu unapimwa according to your body
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mafundi wengi hawafuati maelekezo ya wateja wao.....Ukipata fundi Mzuri na kitambaa kizuri za Kutungua hazioni ndani kitu unapimwa according to your body
Sent using Jamii Forums mobile app
0768945757Habari za muda huu wadau, Naomba mwenye kujua fundi mzuri wa suti za harusi Arusha anipe mawasiliano yake
Asanteni sanaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks Mkuu anapatikana wapi huyu??0768945757
Mcheki huyo kijana ni hatari sana kwa suti na kila kitu katika ushonaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda stand ndogo pana suti nzuri sana na bei za kawaida
Aiseee nimefika kwa jamaa. Jamaa amejipanga. Nimemuelewa sanaaaKuna jamaa mmoja matata sana anaitwa senzia yupo maeneo ilipo Barclays bank na ofisi za sopa lodge.ukishapita aicc hospital mbele unakunja kulia.ukiuliza utampata.