Fundi Mwashi- Paul Kagame

Fundi Mwashi- Paul Kagame

mzungukichaa

Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
57
Reaction score
27
kagame.jpg

Very Inspiring. We only had one in TZ.
 
full kuchapa kazi, ndio uzuri wa kuwa na marais walio na uadilifu
 
He is a man who talk the talk and walk the walk, not like our dhaifu he talk never walk!
 
kajamaa ni kadikteta ila kanachapa kazi balaaa...! mji mkuu ni msaafi hadi raha...hakuna rushwa...hakuna nyumba ya nyasi..! OUR PRESIDENT IS HANDSOME ..!
 
Wa kwetu hata kupanda mti wa ukumbusho inabidi kuwekwa zulia ili asichafue suti yake. Eti anaenda na suti kwenye siku ya upandaji miti...
 
There are two sides to the coin. He is also a dictator and a killer!

lakini watu wake hawalalamiki kuhusu maendeleo na matumaini makubwa waliyonayo warwanda kwa sasa kuhusu taifa lao..wanaolalamika as usual ni wale wanaopenda siasa siasa hizi wanaotamani uongozi na hawaupati kwa sababu hawachangii katika project ya Kagame
 
Mnataka dhaifu afanye kazi nzito ili cd4 zishuke? Mwacheni mgonjwa wetu....
 
there are two sides to the coin. He is also a dictator and a killer!

ulizia mabwpande serikali ya nchi gani na chama gani inamiliki na wanawafanyia mauaji mafisadi au watetezi wa raslimali za nchi. Ukipata jipu usiwe mchoyo unipe na mimi nielewe alafu nikuunge mkono kuhusu maoni yako
 
In Africa you need plenty of dictators like Kagame its when you can move forward
 
jamaa ni mzr na kafanya mengi ila kuna upande wa pili wa shilingi, omba usikupitie, utajuta kuzaliwa.
Si mnasikia anasuport waasi kongo?
Mpk waliojipa upolisi wa duni (us) wanamwaga povu?
Ndio wanadam wengi walivyo, kuna pande mbili za shilingi.
 
hahahaha mbaya zaidi hata kwenye mazishi anatandikiwa mkeka ili asichafue pamba zake
 
There are two sides to the coin. He is also a dictator and a killer!
bora yeye hata anaowaua ni wale wasipenda maendeleo ya rwanda,and ni raisi wa watu kwa vitendo,
rais wetu sisi (kikwete) anaua wapenda maendele na nenepesha wezi na mafisadi.
 
There are two sides to the coin. He is also a dictator and a killer!

Desperate situations demand desperate actions; lipi bora; uongozi dhaifu, watu wanapukuchua raslimali za nchi kama mchwa left; right, center Top and bottom; uchumi wa nchi unadidimia na wananchi kuzidi kuwa maskini au a strong, no nonsense leadership style with a fully functioning state and economy?!
 
Back
Top Bottom