Fundi makini wa Iphone

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Natafuta location ya fundi makini wa iphone. Simu yangu imeharibika power button.

Naomba awe wa uhakika na asije kuniharibia. Na gharama za kutengeneza ikiwezekana ntashukuru pia.
 
jarib kkoo agrey ypo fundi mZr bt umsimamie tu me iphn yang iloharibika vya kupandishia saut na power bttn bt now fine
 
Una namba yake? Gharama zake zinaweza zikawaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…