thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
ilishatoka sana hii hadi imechuja!
Jamaa alipeleka gari lake kwa fundi kupaka rangi na akamwambia fundi nataka ulipake rangi yoyote isipokuwa nyekundu, nyeusi,bluu,njano,kijani,zambarau,choklet,nyeupe na zingine nyingi aliendelea kuzitaja.... Fundi nae akajibu poa nenda uje kulichukua gari lako cku yoyote isipokuwa jumatatu, jumanne,jumatano,alhamis, ijumaa, jumamosi wala jumapili
ilishatoka sana hii hadi imechuja!