M Miranda Michael Member Joined Jun 28, 2012 Posts 30 Reaction score 3 Aug 7, 2012 #1 Habari zenu ndugu zangu. Natafuta mtu wa kunitengenezea ipad yangu.Tatizo ni kwamba niliidondosha na hapo haikuweza kuwaka tena.kwa mwenye uwezo naomba anitaarifu japo kwa PM. Asante.
Habari zenu ndugu zangu. Natafuta mtu wa kunitengenezea ipad yangu.Tatizo ni kwamba niliidondosha na hapo haikuweza kuwaka tena.kwa mwenye uwezo naomba anitaarifu japo kwa PM. Asante.
Boniface Evarist JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 1,147 Reaction score 513 Aug 8, 2012 #2 iPad generation gani? je haiwaki kwa maana ipi? imezima kabisa au ina blink? mie si fundi ila nina uzoefu mkubwa na iPad.
iPad generation gani? je haiwaki kwa maana ipi? imezima kabisa au ina blink? mie si fundi ila nina uzoefu mkubwa na iPad.
Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 356 Aug 8, 2012 #3 Pelekwa Authorized Dealers Mtaani utachakachuliwa na isiwake ushaona kuna sehemu hata ya kuweka bisi bisi?
Pelekwa Authorized Dealers Mtaani utachakachuliwa na isiwake ushaona kuna sehemu hata ya kuweka bisi bisi?