Fundi Computer na Laptop.wasiliana nami..upate suluhisho juu ya computer/laptop yako mbovu.

Oct 17, 2016
46
47
Jibu la matatizo lipo Bora Computer Solution.
Tunatengeneza laptop na desktop aina zote kwa ubora wa hali ya juu, tunabadilisha Operating System(OS) kama vile Windows 7, 8, 10 na kwa mahitaji ya kubadilisha vioo vya laptop, keyboard, ram, mouse, processor n.k.Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0676040772.
 
Kioo cha Compaq CQ58 ni shilingi ngapi?
 
Mkuu me pc yangu toshiba satelite c850-b839 shida yake inawaka vizuri ila ikianza kuload kuelekea kwenye welcome screen inazima ghafla. Na ikifanikiwa kuwaka nikifungua tu apps inazima ghafla. Naitumia bila bettery ilishakufa je inaweza ikawa ndo shida. Me nahisi shida ni processor kwasababu inakoroma flani hivi kama kitu kinachemka. Kama ndo shida hiyo naweza kubadili kwa kuupgrade sababu hii pc inatumika mara nyingi apa nyumbani kwa kuchezea game. W10
71ba50d3a43f550bc70870454c9757a6.jpg
20170519_223619-jpg.511607
 
😂 😂 😂 Hapo kaka umeharibu kila kitu wengi wanajua ishu za installation tu
 
Jibu la matatizo lipo Bora Computer Solution.
Tunatengeneza laptop na desktop aina zote kwa ubora wa hali ya juu, tunabadilisha Operating System(OS) kama vile Windows 7, 8, 10 na kwa mahitaji ya kubadilisha vioo vya laptop, keyboard, ram, mouse, processor n.k.Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0676040772.
Hujasema unakopatikana
 
Back
Top Bottom