nina unlock modems zote za tigo, voda, and airtel only ie based on gsm technologyJe mna unlock modem za sasatel?
nina unlock modems zote za tigo, voda, and airtel only ie based on gsm technology
cha msingi output za functionality zao ziwe bora, ni vizuri wataalamu wenye elimu yakutosha waongezeke kwa kua technology inakua na computer zinaongezeka every day.
MKuu, I have Dell Laptop. Tatizo ni kwamba, ninapojaribu kuiwasha, huwa inatoa mlio wa kugonga na hivyo kushindwa kuwaka mara moja. Huu mlio huwa ni endelevu, ilishawahi ku-count nione utaishia wapi lakini hadi nafika 15, mlio ulikuwa unaendelea bila laptop kuwaka. Inapotokea hali kama hiyo, basi ni lazima niitekenye sana ndipo finally itawaka.cha msingi output za functionality zao ziwe bora, ni vizuri wataalamu wenye elimu yakutosha waongezeke kwa kua technology inakua na computer zinaongezeka every day.
worry kaka its possible, hizo alarm zinamaanisha error flani, nitazifix fresh na haitasumbua tena coz nimeshakutana nazo several times.MKuu, I have Dell Laptop. Tatizo ni kwamba, ninapojaribu kuiwasha, huwa inatoa mlio wa kugonga na hivyo kushindwa kuwaka mara moja. Huu mlio huwa ni endelevu, ilishawahi ku-count nione utaishia wapi lakini hadi nafika 15, mlio ulikuwa unaendelea bila laptop kuwaka. Inapotokea hali kama hiyo, basi ni lazima niitekenye sana ndipo finally itawaka.
The question is: are you familiar with that problem? Nalazimika kuuliza kwanza coz' siku nyuma nimeshawahi kuharibu laptop mara mbili baada ya kuzipeleka kwa fundi! Good enough, wakati huo nilikuwa na uwezo wa kupata pesa chapchap na kuweza nunua nyingine pindi laptop inaponifia. For the time being, mnh! So, naogopa nisije nikakuletea na matokeo yake ndo nikashindwa moja kwa moja hata kuiwasha kwa kuitekenya na hivyo kusimamisha shughuli zangu moja kwa moja!
BETTER TO BE SAFE THAN SORRY!
- Tunafanya repair za laptop na desktop zenye matatizo mbalimbali na kurudia hali yake ya kawaida.
- Motherboard repair: Tunafanya repair ya chip mbalimbali zilizokufa kwenye motherboard, diodes,power diodes, power unit, power qubic,resistors, transistors. n.k.
- Desktop power supply repair: Pia tunafanya repair za power supply za desktop zilizokufa components mbalimbali kama capacitors, transistors, regulators, fuse,ac.
- Laptop adapter repair.
- Modem unlocking/flashing: Hii itakuwezesha kutumia line yoyote katika modem yako ie. Vodacom, Tigo, Airtel
- Desktop display-tunafanya repair za display za desktop zilizokufa, na kurudia hali yake ya kawaida.
- Windows / programs / antivirus installation
Contacts: 0762-647575
- Tunafanya repair za laptop na desktop zenye matatizo mbalimbali na kurudia hali yake ya kawaida.
- Motherboard repair: Tunafanya repair ya chip mbalimbali zilizokufa kwenye motherboard, diodes,power diodes, power unit, power qubic,resistors, transistors. n.k.
- Desktop power supply repair: Pia tunafanya repair za power supply za desktop zilizokufa components mbalimbali kama capacitors, transistors, regulators, fuse,ac.
- Laptop adapter repair.
- Modem unlocking/flashing: Hii itakuwezesha kutumia line yoyote katika modem yako ie. Vodacom, Tigo, Airtel
- Desktop display-tunafanya repair za display za desktop zilizokufa, na kurudia hali yake ya kawaida.
- Windows / programs / antivirus installation
Contacts: 0762-647575
Mkuu GHANI heshima kwako,
Naomba unisaidie tatizo la external hdd yangu ya TB 2, tangu niwe nayo ina-nilimit ku-store data kwadi GB 29.7 tu nikizidisha zaidi ya hapo inaandika I/O error, nkahisi inawezekana kuna certain limitation ambazo zipo kwenye hiyo Hdd na hivyo kunizuia kuhifadhi zaidi ya ukubwa huo wa data. hata hivyo nimekitahidi bila mafanikio na hivyo nimeipark tu maana sioni kama inanisaidia kulingana na mahitaji yangu ya kifaa hicho.
Je kuna uwezekano kukawa na hiyo technical limit au ni tatizo la kifaa?
Je inawezekana kurekebisha tatizo hilo?
Nakutakia kazi nzuri ni mategemeo yangu kuwa utatatua tatizo hili kadiri ya utaalam na ujuzi kwenye hizi mambo!
Asante na karibu kwa majibu ya kitalaam bwana.
Kimsingi tangu niletewe imekua na hilo tatizo mkuu GHANI.ok ndugu kutatua hilo tatizo inahitaji kujua background yake, ok je awali ilikua na uwezo wa ku-store data za 2T, then baadae ikaleta that error au toka ulipoinunua hujawahi kufanikiwa kuweza data za 2T?Kama haijawahi kukubali data za 2T toka umenunua itakua na problem from the manufacture hua zinakua nahizo error several times unakuta inasoma 2T but haina uwezo wa kubeba hizo data, kama ilianza baada ya hapo first anza kui-format kwa kutumia free sources kama linux mint, ubuntu, fedola kabla hatujaingia ndani zaidi.