boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,109
- 1,399
Unapoiwasha inaomba uingize password?Wakuu nahitaji fundi anayeweza Kutoa lock Kwenye machine yangu pia nahitaji hard disk angalau gb 180 ya hiyo pc
Pc inalock lock kwenye administration siyo kwenye hard disk yaani nimejaribu kuweka hard disk tofauti but haikubali kupiga window inadai code
Pc ni hp probook 4340s
Icore 5
Note: fundi awe dsm nitaenda ofisini kwake na bei uniambie kabisa
Sina haraka saana mkuuunauharaka kiasi gan mkuu?
Wakat wa kupiga window, ukishachagua storage inaleta administration then inaomba code ili ianze process ya kuinstall windowUnapoiwasha inaomba uingize password?
Ninaweza kukusaidia hapa hapa km itawezekana. Ni free usiogope
Ok! Tutafika tu huko ila swali langu ni hili.Wakat wa kupiga window, ukishachagua storage inaleta administration then inaomba code ili ianze process ya kuinstall window
Mkuu nilishindwa kutoa maelezo ya kiufundi ni password ya BIOSHakuna kitu kama hicho duniani.
Kwamba eti kuna password requirement ina show up kwenye windows admin halafu ukibadilisha hard drive bado inagoma.
Administrator password iko kwenye Windows. Windows iko kwenye hard disk, ukibadikisha disk ma password yote ya windows kwishne.
The only password ambayo haikai kwenye windows ni BIOS password. Mtu kaingia kwenye BIOS kaweka ma password huko, labda.
Mkuu nilishindwa kutoa maelezo ya kiufundi ni password ya BIOS
Mkuu nilishindwa kutoa maelezo ya kiufundi ni password ya BIOS
Waweza nisaidia mkuuhapo mpaka ubadilli bios chip
tupo dar es salaam Ilala njoo tatizo lako litaisha namba hii 0719484663Wakuu nahitaji fundi anayeweza Kutoa lock Kwenye machine yangu pia nahitaji hard disk angalau gb 180 ya hiyo pc
Pc inalock lock kwenye administration siyo kwenye hard disk yaani nimejaribu kuweka hard disk tofauti but haikubali kupiga window inadai code
Pc ni hp probook 4340s
Icore 5
Note: fundi awe dsm nitaenda ofisini kwake na bei uniambie kabisa
Sawa mkuutupo dar es salaam Ilala njoo tatizo lako litaisha namba hii 0719484663
Umekataa nn na umekubali nn mkuuHakuna kitu kama hicho duniani.
Administrator password iko kwenye Windows. Windows iko kwenye hard disk, ukibadikisha disk ma password yote ya windows kwishne.
The only password ambayo haikai kwenye windows ni BIOS password. Mtu kaingia kwenye BIOS kaweka ma password huko, labda.
kuna battery (CMOS battery) ndogo kama ya saa hukaa karibu na Processor, itoe kisha irudishie, computer itasahau kila kitu including that password!Mkuu nilishindwa kutoa maelezo ya kiufundi ni password ya BIOS
Sawa nitajaribukuna battery (CMOS battery) ndogo kama ya saa hukaa karibu na Processor, itoe kisha irudishie, computer itasahau kila kitu including that password!
Hiyo njia ni valid kwa Pentium 4 pro, not the advanced PC like the one we discussing here. The workable soln for such problem is "shorting" the certain jumpers.kuna battery (CMOS battery) ndogo kama ya saa hukaa karibu na Processor, itoe kisha irudishie, computer itasahau kila kitu including that password!
Chief unaonekana waweza nisaidia hii tatizo kama upo dsm nipe mawasiliano tafadhaliHiyo njia ni valid kwa Pentium 4 pro, not the advanced PC like the one we discussing here. The workable soln for such problem is "shorting" the certain jumpers.
Mkuu wewe ndie waweza msahidia hawa wengine wanasema kuchomoa CMOS battery akuna hiyo kitu labda Yale ma desktop YA kizaman.... Mm nilishachomoa battery kwa siku Saba nikasafiri nikarudi Bado ikakumbuka password...... Bios password wacha kabisa ni mzuri kwenye computer. Pale wezi wanapokuibia watasota Sana kuiweka vizuri....Hiyo njia ni valid kwa Pentium 4 pro, not the advanced PC like the one we discussing here. The workable soln for such problem is "shorting" the certain jumpers.
Uko dar sehemu gani tufanye kazi mkuu.Chief unaonekana waweza nisaidia hii tatizo kama upo dsm nipe mawasiliano tafadhali