Fun-cargo kwa 7.5 M

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
783
169
hii picha nimedowload knye mtandao.

msaada kwa anaejua uimara na ubovu wa hizi gari kabla sijaingia chaka kina cc 1290 kinauzwa 7.5M nataka nikitest ila nahofia kisijekuwa ni sampuli za Bajaji

Inatumia mafuta vizuri na unaweza ukabeba mzigo wenye volume kubwa.
Tatazo lake moja tu ipo chini sana hata ukiinyanyua lmbele bado panakua chini na ni rahisi kuvunja Bumper kwa chini.
 
......muonekano wake kwa mwanaume aipendenzi labda kama unamtafutia mamaa awe anaendea kitchen party, saluni n.k; kwa fuel consumption iko njema ila hiyo bei nakushauri tembelea kwanza show room ufanye comparison.
.
 
Ina maana huyu ni mwanaume? kama ni mwanaume basi Cameron alikuwa sahihi kabisa.

user-offline.png
jino kwa jino

Yesterday 17:23
#1
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 3rd November 2010
Posts : 614
Rep Power : 389

[h=2][/h]
 
......muonekano wake kwa mwanaume aipendenzi labda kama unamtafutia mamaa awe anaendea kitchen party, saluni n.k; kwa fuel consumption iko njema ila hiyo bei nakushauri tembelea kwanza show room ufanye comparison.
.

hii ni mpya imeingia bongo last month January 2012 showroom ni 7 to 9 ila hii iko knye hali safi
 
Back
Top Bottom