Fumigation na usafi

graceusafi

New Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
3
Reaction score
3
Sisi ni Graceusafi
Tunafanya Usafi Ofisini nyumbani shuleni, nyumba mpya na sehem za Ibada
Tunafanya Usafi wa kiwango Cha juu Sana(Deep cleaning)
Tunavifaa vyote vya kufanyiwa usafi mfano, mashine ya kunyonya vumbi kwenye madirisha na ukutani,tunamashine ya kusafishia sofa na carpet
Pia tunamashine ya kusafishia tiles na itarudi katika upya kabisa
Dawa na sabuni zetu ni nzuri Sana na Rafiki kwa mteja
Tunatoa huduma ya fumigation Ofisini nyumbani shuleni hospitalini na sehem mbali mbali
Kama unasumbuliwa na mende mijusi panya nyoka tandu kunguni mchwa Graceusafi tupo karibu sana
Tunapatika mbez ya kimara
0758185393/0624941811
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…