Fumbo la Zitto

Fumbo la Zitto

Suala la huyo Bwana kufanya uhaini na kujificha Rwanda naona kama limeshasahaulika ila kidiplomasia linapotezewa. Hapo ujue huu urafiki na Rwanda ni wa mashaka sana, ilitakiwa Rwanda imrejeshe huyo mtuhumiwa kama kweli kuna urafiki usio na mashaka. Pia Rwanda iende mbali zaidi kwa kuonyesha kivitendo kwamba imesitisha misaada kwa wapiganaji wa M23.
Mkuu kagame hanaga hilo,yeye ni maslahi ya taifa kwanza
 
Umejadili hoja au Umejadili mtu au hoja yake haijibiki umeamua kuikwepa kimtindo, umeamua kuwa mbuni mkuu
Mkuu heshima kwako.
Kipindi hiki tunapaswa kuambiana ukweli, Zitto anachokifanya kwa sasa ni kama amekata tamaa. Nikimwangali Mama Mwigira na Mkumbo nikama mamluki na hawana msaada wowote kwa Zitto na ndio maana kauli za Zitto hawazieshimu kama sio kuzisapoti.

Hii inamaanisha nini.... Zitto anamengi ya kuyafanya ili kuzisaidia siasa za Tanzania tatizo uwanga aliopo unambigiri na yeye viatu ni bidhaa hadimu
 
M
Jamhuri moja ya KUFIKIRIKA ina wanajeshi wake nchi jirani, magharibi. Huko nchi jirani kuna nchi jirani nyengine inasaidia waasi ambao Jamhuri ya KUFIKIRIKA imeenda kupambana nao kwa ombi la Umoja wa Mataifa. Amiri Jeshi Mkuu mpya wa KUFIKIRIKA ana mahusiano ya karibu sana na Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi ambayo inasaidia waasi wanaopigana na Askari wa KUFIKIRIKA.

Ari ya Wapiganaji itakuwa chini sana na kitakachofuata ni urafiki wa wakubwa kutamalaki na maslahi ya nchi kuwekwa pembeni. Madhara yake hayaelezeki...
Mkuu upo sahihi kabisa, ila bado nayakumbuka sana maneno ya Mzee Kingunge wakati wa kampeni, na sijui alijuaje. Alisema, namnukuu."Nchi hii inahitaji kiongozi na siyo nyap........ Malizieni wenyewe. Sina milion 7 za kulipa mie.
 
Mkuu heshima kwako.
Kipindi hiki tunapaswa kuambiana ukweli, Zitto anachokifanya kwa sasa ni kama amekata tamaa. Nikimwangali Mama Mwigira na Mkumbo nikama mamluki na hawana msaada wowote kwa Zitto na ndio maana kauli za Zitto hawazieshimu kama sio kuzisapoti.

Hii inamaanisha nini.... Zitto anamengi ya kuyafanya ili kuzisaidia siasa za Tanzania tatizo uwanga aliopo unambigiri na yeye viatu ni bidhaa hadimu
Sasa hivi kazungukwa na kina mcubic
 
Mtoa fumbo anajiahibisha tu sio lazima mawazo yake haonekane genius au mawazo ya wote
 
Zitto kabanwa na Magufuli naona ameona aanze kuongea kitaarab. Ama kweli Magu kidume
 
Nisome tena Mkuu.
Nimesema Zitto yupo sahii (ki hoja)

Ila kimaisha ya kisiasa kaporomoka sana, sana hii ni kutokana na kwamba siasa za karne hii zinaitaji taasisi na sio MTU mmoja.

Mwisho intake radhi sababu baba yangu ni marehemu (R I P) na alikuwa na hekima na busara na katu hakuwa mkurupukaji

Hapa tunaongelea siasa, babaako mzaz anatoka wap hapa? Unaonekana bingwa wa kukwepa hoja, niliposema baba unajua kabisa nilimaanisha nn ila umeamua kukwepesha makusud. Ok nilimaanisha baba mkuu wa familia ya kitanzania.
Kingine hoja yako imejengwa kumkosoa zitto zaid kuliko kujadili hoja yake. Yaan kuunga mkono umesema tu
zitto upo sahii,
lakn kuyeyusha hoja yake maelezo paragrafu tatu.

Kwa haraka hoja inakosa nguvu coz huwez kumdharau mtu kwa kitabu kizma ukajenga hoja umemsifia sentes moja . Wasomaji tunachukua maudhui yako yaliochukua kitabu kizma
 
N
Mkuu kagame hanaga hilo,yeye ni maslahi ya taifa kwanza
Na Kama huyu ndugu yetu JPM hamjui vizuri Kagame aulize tu japo kwa marafiki zake, loura Nkunda yupo wapi? Na aulize juu ya urafiki wa Nkunda na Kagame uliishia wapi?. Baada ya hapo atafakari na achukue hatua zaidi. Tena amwulize JK. Ndiye anayejua vizuri.
 
Methinks, wakuu wakielewana jamaa ataacha kussuport wahasi. Na sisi kurudisha watoto wetu nyumbani kulinda mipaka yetu na kuachana na sitofahamu ya kupoteza maisha huko Congo? Ndio makubaliano ya mezani yanayotakiwa, ama zitto anataka jeshi letu kuendelea huko Congo ? Ili iweje ama nimnufaika?

You are very right! Tatizo wengi wetu tunawaza -ve tu. Sijui ni kwa sababu ya upinzani kisiasa au??!! Hatuoni kwamba upande mmoja ulio +ve unaweza kuushawishi ule wa -ve na mambo yakatengemaa.
Urafiki wa PK na JP unaangaliwa kwa upande mmoja tu (PK-->JP) as if mwingine hana ushawishi kwa mwenzake. Hatuoni kwamba hata JP anaweza mshauri/shawishi PK na mwishowe Amani ikapatikana ukanda ule. Hii ni mbaya sana.
Halafu wakati wote upinzani ndio unaonekana kuwa right na serikali ndio yenye kufanya makosa kila wakati. Hivi kipimo cha kupata/kukosea ni mpaka upewe madaraka?
Taifa hili linahitaji mabadiliko makubwa sana kifikra..
 
N

Na Kama huyu ndugu yetu JPM hamjui vizuri Kagame aulize tu japo kwa marafiki zake, loura Nkunda yupo wapi? Na aulize juu ya urafiki wa Nkunda na Kagame uliishia wapi?. Baada ya hapo atafakari na achukue hatua zaidi. Tena amwulize JK. Ndiye anayejua vizuri.
Mkuu huoni kusema hivyo ni kumkosoa bwana mkubwa?
 
Jamhuri moja ya KUFIKIRIKA ina wanajeshi wake nchi jirani, magharibi. Huko nchi jirani kuna nchi jirani nyengine inasaidia waasi ambao Jamhuri ya KUFIKIRIKA imeenda kupambana nao kwa ombi la Umoja wa Mataifa. Amiri Jeshi Mkuu mpya wa KUFIKIRIKA ana mahusiano ya karibu sana na Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi ambayo inasaidia waasi wanaopigana na Askari wa KUFIKIRIKA.

Ari ya Wapiganaji itakuwa chini sana na kitakachofuata ni urafiki wa wakubwa kutamalaki na maslahi ya nchi kuwekwa pembeni. Madhara yake hayaelezeki...
Hapa ndipo tunafahamu watu wanaingiwa na dawa ya serikali ya awamu ya tano. Kama kuja kufungua sabasaba ndio yameleta haya, huyu mtoa mada amechelewa kwani hata mwaka jana Kagame aliyafungua haya maonesho.
Kingine wafahamu kuwa majeshi yako chini ya umoja wa mataifa na yafafuata malengo ya kamanda aliyeko huko. Mh Rais hayapi amri wapi washambulie na wapi waache.
 
Nini chanzo cha uhasama kati ya JK na PK?
Kagame alichukizwa na Uamuzi wa Jk kupeleka Askari Mashariki mwa Congo kuleta amani wakati Kagame anatumia eneo hilo kwa biashara ya Magogo ya Mninga asilia na Madini kwa kuchochea migogoro kwa kisingizio cha kusaka Interahamwe wa 1994.
Jk alimtaka amalizane na Interahamwe kwa Mazungumzo ili asiwe na kisingizio cha kubaki Congo aka mind. Soon Askari wetu huenda wakarudi Nyumbani kwa kuwa "Mshauri Mwelekezi Ndg Paul Kagame" anasaidia Nchi kukusanya kodi
 
Siuoni umuhimu wa TPDF kuendelea kulisaidia jeshi la congo ni bora waludi nyumbani na kwa sababu saiv kagame na JPM ni marafiki hayo mambo yawekwe mezani yamalizwe kidipromasia.ila inaniuma sana TZ kuwa na urafiki na rwanda ambao wanaihujumu congo rasilimali zake. Na congo ndio marafiki wetu wa ukweli tangu zamani na sijui huu urafiki wa JPM na kagame umetokea wapi labda kuna agenda ya siri.
 
Naona Dogo anatafuta rangi za kagame..ila akumbuke kagame si mwanasiasa na hataona akijibiwa kwa maneno..action will talk..ni pale atakaponyamazishwa kama mtikila
 
Back
Top Bottom