Fumbo la Zitto

mcubic

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
10,307
6,514
Jamhuri moja ya KUFIKIRIKA ina wanajeshi wake nchi jirani, magharibi. Huko nchi jirani kuna nchi jirani nyengine inasaidia waasi ambao Jamhuri ya KUFIKIRIKA imeenda kupambana nao kwa ombi la Umoja wa Mataifa. Amiri Jeshi Mkuu mpya wa KUFIKIRIKA ana mahusiano ya karibu sana na Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi ambayo inasaidia waasi wanaopigana na Askari wa KUFIKIRIKA.

Ari ya Wapiganaji itakuwa chini sana na kitakachofuata ni urafiki wa wakubwa kutamalaki na maslahi ya nchi kuwekwa pembeni. Madhara yake hayaelezeki...
 
Zitto yupo sahii.

USHAHURI
Siasa za karne hii haziitaji "They one man army " Ni bora atulie na kukijenga Chama au aungane na wenzake ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. ACT haifahamiki anayefahamika ni Zitto pekee kina Kitila hawajui nini cha kufanya yani ni kama mazuzu flani (samahani) Hivyo ata Zitto ufanye kizuri hakiwezi kudumu sababu hakuna back-up.

Unatia huruma sana broo, siamini kama ni Yule Zitto aliyekuwa na coparation ya kutosha Leo hii ni kama yatima, sasa kupambana na yule *********** wa Lissu ni sawa kupaka upepo rangi.

Inatia huruma sana leo kumuona Zitto akiendesha harakati zake Fb. Kweli kila jambo lina mwisho
 
Babaako kakataza mikutano unataka zitto akaongelee wap??

Kingne huwez elewa hoja ya zito mpaka utoe uchama uvae utaifa!!
Kaulize wajeshi wetu hupambana na watu wa nan ndio utajua hoja ya zitto
 
Angalizo muhimu sana. TZ inaowanajeshi Congo DRC wanaopigana dhidi ya M23 ambao yasemekana wanapata msaada kutoka Rwanda. Rais wa TZ ni rafiki wa Rais wa Rwanda. Je kwa nini askari wetu waendelee kuwepo Congo DRC? Ni bora warudi nyumbani.
 
Mkuu umesahau kuwa mgema akisifiwa tu lazima tembo aliongeze maji
 
Daaaa hii kali mimi nipo mwandiga nagonga supu ya samaki
 
Umejadili hoja au Umejadili mtu au hoja yake haijibiki umeamua kuikwepa kimtindo, umeamua kuwa mbuni mkuu
 
Mbona hatuhoji uswahiba wetu na Warusi au Wamarekani wanaosupply Silaha zinazotumika huko CONGO ??
 
Mkuu umesahau kuwa mgema akisifiwa tu lazima tembo aliongeze maji
Pia ngoma ikivuma sana mwishowe hupasu. Ukumbuke kuna askari mwenye asili ya Rwanda alitorokea Rwanda na taarifa za siri sijui amesharejeshwa?
 
Babaako kakataza mikutano unataka zitto akaongelee wap??

Kingne huwez elewa hoja ya zito mpaka utoe uchama uvae utaifa!!
Kaulize wajeshi wetu hupambana na watu wa nan ndio utajua hoja ya zitto
Nisome tena Mkuu.
Nimesema Zitto yupo sahii (ki hoja)

Ila kimaisha ya kisiasa kaporomoka sana, sana hii ni kutokana na kwamba siasa za karne hii zinaitaji taasisi na sio MTU mmoja.

Mwisho intake radhi sababu baba yangu ni marehemu (R I P) na alikuwa na hekima na busara na katu hakuwa mkurupukaji
 
Pia ngoma ikivuma sana mwishowe hupasu. Ukumbuke kuna askari mwenye asili ya Rwanda alitorokea Rwanda na taarifa za siri sijui amesharejeshwa?
Kweli mkuu nakumbuka hiyo issue hivi juzi halikuzungumziwa?
 
NINAVYO FAHAMU MAJESHI YA TANZANIA NA UN YANAPAMBANA NA WAHASI WA KIHUTU WALIO SABABISHA KIMBARI 1994, NA KAGAME ANAWASAKA PIA ILI WAFIKISHWE MAHAKAMANI SASA. SASA TATIZO LIPO WAP?
 
Angalizo muhimu sana. TZ inaowanajeshi Congo DRC wanaopigana dhidi ya M23 ambao yasemekana wanapata msaada kutoka Rwanda. Rais wa TZ ni rafiki wa Rais wa Rwanda. Je kwa nini askari wetu waendelee kuwepo Congo DRC? Ni bora warudi nyumbani.
Nini chanzo cha uhasama kati ya JK na PK?
 
Methinks, wakuu wakielewana jamaa ataacha kussuport wahasi. Na sisi kurudisha watoto wetu nyumbani kulinda mipaka yetu na kuachana na sitofahamu ya kupoteza maisha huko Congo? Ndio makubaliano ya mezani yanayotakiwa, ama zitto anataka jeshi letu kuendelea huko Congo ? Ili iweje ama nimnufaika?
 
Kweli mkuu nakumbuka hiyo issue hivi juzi halikuzungumziwa?
Suala la huyo Bwana kufanya uhaini na kujificha Rwanda naona kama limeshasahaulika ila kidiplomasia linapotezewa. Hapo ujue huu urafiki na Rwanda ni wa mashaka sana, ilitakiwa Rwanda imrejeshe huyo mtuhumiwa kama kweli kuna urafiki usio na mashaka. Pia Rwanda iende mbali zaidi kwa kuonyesha kivitendo kwamba imesitisha misaada kwa wapiganaji wa M23.
 
Back
Top Bottom