Asipokuwa makini atapiga watu mangumi kila siku na mwisho ataishia SEGEREA aongee na mke wake kama anaweza kubadilika, watafute sababu zilizopelekea umaruhuni huo na ikishindikana waachane kwa wema
Mkuu ndoa ya Serikari Tatu ikoje hiyo naomba unifafanulie.
hivi ingekuwa wewe ungesamehe katika mazingira kama hayo?Richpaul mrejesho! Rafk ako alimsamehe mkewe! Kwa ule usaliti? I want to learn smthn!
Hivi kisa cha kwenda kushikana mashati na mtu kwasababu ya papuchi ni nini?
Kaka mkubwa nahisi haijakutolea ila siku ikikutokea hapo ndo utajua uchungu wa mke aujuae mume
Mkuu upo? Ulimalizana vipi na majaribu yaliyokukuta?