Nakumbuka kuiona mwaka jana picha hii jamaa alikuwa anasafiri kwa ungo kufika eneo hilo sikumbuki kama ni sumbawanga akanasa huko angani na kudondoka hapo mpka alipokutwa na idhara kama hiyo.
Yaani hapo unafata msemo wa mababu zetu HERI LAWAMA KULIKO FEDHEA. unalianzisha unatoka nduki tu, huyo mama hapo mbele keshakusogezea kanga unachukua unaishia