Kama ni guest manake huyo hatarudi kwangu. Kama nimewakuta kitandani kwangu wamejifunika mashuka yangu, wamelalia mito yangu na kila kitu, itabidi nivue koti nikae kwenye kiti, nimwangalie huyo aliyemkaribisha mwenzake kwa dk 5 usoni. afu naandika talaka 3 na kumkabidhi ili waondoke na huyu bwanake........... mengine yatafuatia.